Comments
Transcript
Argomenti del frasario italiano – swahili
Argomenti del frasario italiano – swahili - Espressioni utili Difficoltà Presentazioni, saluti Viaggi, biglietti, bagagli Treno, aeroplano, nave Automobile, aiuto sulla strada, parti di automobile, attrezzi ed equipaggiamenti, segnali stradali Autobus, taxi Turismo Giochi. Spettacoli Alloggi Cibi Religione Servizio sociale Spese Ufficio postale Banca Libreria - cartoleria Lavanderia Pulizie della casa Vestiti Incidenti e malattie Farmacia Parti del corpo Radiografie Giorni della settimana, mesi, stagioni Condizioni meteorologiche Tempo Numeri Misure Colori Oggetti comuni Animali Insegnanti Costruzioni Agricoltura – Botanica Politica Controlla il radiatore Dammi 5 litri di benzina Quanto costa la benzina? Per cortesia cambia l’olio Leggero, medio, pesante Metti acqua nella batteria Lubrificheresti l’automobile? Metti acqua nel radiatore Puoi lavarla adesso? Stringi i freni Controlleresti la pressione dei pneumatici? Cambia questa ruota Una foratura, una perdita d’aria Questo…non funziona Quale è il problema? Il motore si surriscalda La valvola è rotta Sussulta (si spegne) C’è un attrito, (una perdita), ( un rumore) Tazama maji Nipe lita tano za mafuta Petroli ni kiasi gani? Geuza mafuta, tafadhali Mafuta mepesi, ya katikati, mazito Weka maji katika beteri Ebu piga grisi gari Tia maji katika bomba (radieta) Unaweza kusafisha sasa hivi? Kaza breki Tazama upepo Geuza tairi hii Kuna kitundu,pumzi inatoka polepole …Imeharibika Kuna shida gani? Injini inachemsha sana Kilanga (valvu) kimeharibika sana Inarukaruka (inakufa tu) Kuna kama kitu kinasagika (inavuja), (kuna makelele) C’è un battere in… Inakatika katika… Posso parcheggiare qui per un poco? Naweza kuacha motokaa hapa kidogo? Voglio mettere in garage la mia auto per la notte Nataka kuweka katika gareji usiku A che ora chiudono? Wanafunga saa ngapi? A che ora aprono? Wanafungua saa ngapi? La mia auto si è rotta Motokaa yangu imeharibika Mi dispiace di importunarti Nasikitika kukusumbua Puoi trainarla (spingere)? Unaweza kuivuta (kuisuk uma) gari? Mi aiuteresti a sollevarla con il cricco? Unaweza kunisaidia kuinua motokaa kwa jeki? Metteresti la ruota di scorta? Utaniwekea gurudumu la akiba? Puoi darmi un poco di benzina? Unaweza kunipa petroli? Mi porteresti ad un’officina? Utanipeleka gareji? Si trova in un canale Ni katika mfreji Mi aiuti a togliere la macchina dalla strada? Unisaidie niondoe motokaa barabarani? La mia auto è bloccata nel fango Motokaa yangu imezama (imekwama) matopeni Bullone Msumari, Bolti Davanti La mbele Destra Kulia Sinistra Kushoto Ruota/e Tairi/matairi Camera d’aria Mpira (wa ndani) Ruota di scorta Gurudumu la akiba Ruota posteriore (anteriore) Tairi ya nyuma ( ya mbele) Fanale posteriore (anteriore) Taa ya nyuma ( ya mbele Volante Usukani Catene Minyororo Martello Nyundo Cricco/Martinetto Mtambo wa kuinulia. Jeki Chiave Ufunguo Chiave inglese Pinze Corda Cacciavite Pompa Corso/Viale Chiusa Discesa Vai Tieni la sinistra Strada stretta Strada con incrocio/Incrocio Strada in riparazione Curva a gomito Salita Stop Strada con tornanti Curva Pericolo Curva pericolosa Rotatoria Uscita Divieto di accesso Limite di velocità consentito 50 Ponte stretto Divieto di svolta a destra (a sinistra) Divieto di fumare Non si passa Divieto di accesso Attraversamento di ferrovia Scuola Adagio Rallenta Fermati, guarda e ascolta Autobus e Taxi Ogni quanto c’è l’autobus per andare a…? Si fermano durante il viaggio per il pranzo? La ferma l’autobus L’autista Quale autobus prendo per andare a…? Vai vicino a…? Quanto costa il biglietto? Chiamami un taxi Quanto dista? Quanto costerà? Costa troppo Per cortesia guida più piano Guida con più attenzione Spana ya kiingereza Koleo Kamba Pis-pis Pampu Barabara Imefungwa Bonde Endelea Pita kushoto Njia nyembamba Njia panda Njia inatengenezwa Pindi la ghafula Mlima Simama Kizingo Pindi Hatari Pindi, la hatari Kuzunguka Kutoka Usiingie Usiendeshe zaidi ya maili hamsini Daraja nyembamba Mwiko kuzunguka kulia (kushoto) Usivute Hakuna njia Mwiko kuingia Reli inapita hapa Shule Polopole Punguza mwendo Simama, tazama na sikiliza Bas na Taxi Mara ngapi bas huenda…? Wanasimama njiani kwa chakula? Pale inaposimama bas Dereva Niingie katika bas gani kwa kwenda…? Unakwenda karibu na…? Nauli ni ngapi? Niitie taxi Ni umbali gani? Nauli ni ngapi? Ni ghali mno Endesha polepole Angalia, usiende upesi Fermati qui. Aspettami Vai per la strada di… Turismo Voglio una guida che parli italiano/inglese Quanto prendi per un’ora (un giorno)? E’ ancora aperto? Fino a che ora resterà aperto? Dov’è l’entrata? Dov’è l’uscita? Quanto si paga l’entrata? Abbiamo bisogno di una guida? Quanto costa il libro guida? Posso fotografare? Avete un libro in italiano/inglese su…? Adesso riportami a casa Ritorna per la strada di… Quanto ti devo? Spettacoli, Giochi Voglio vedere delle danze tradizionali Cosa dovrei indossare? Andare a nuotare A che ora inizia lo spettacolo? Il prezzo di entrata Andare a caccia Andare a pesca Non stiamo troppo vicini/ lontani Alloggi Ci sono lettere o messaggi? A che ora arriva la posta? Partirò alle ore… Trasmetti la mia posta a… Posso avere un servizio di lavanderia? Ho alcune cose da far stirare Voglio le chiavi Per cortesia oggi cambia le lenzuola Portami un altro cuscino (coperta) Una federa, un tappeto da bagno Attaccapanni, bicchiere Sapone, asciugamani, candela Acqua potabile, carta igienica C’è acqua calda? Per cortesia dell’insetticida Per cortesia torna più tardi Un salotto, delle camere da letto Simama hapa. Ningojee Pitia… Kutazama nchi Nataka kiongozi mwenye kusema kiitaliano/kiingereza Utadai shilingi ngapi kwa saa (kwa siku)? Bado ni wazi? Itakuwa wazi mpaka saa ngapi? Mlango uko wapi? Mlango wa kutokea uko wapi? Ada ya kuingia ni ngapi? Tunahitaji kiongozi? Kitabu cha kiongozi ni senti ngapi? Naweza kupiga picha? Mna kitabu cha kiitaliano/kiingereza juu ya…? Unirudishe nyumbani sasa Rudi kwa njia ya::: Gharama yake ni ngapi/ Unanidai ngapi? Michezo Nataka kuona ngoma za utamaduni Nivae nini? Kwenda kuogelea Inaanza saa ngapi? Ada ya kuingilia Kwenda kuwinda Kwenda kuvua samaki Tusiwe karibu mno/ mbali mno Upangaji Kuna posta? Posta inafika saa ngapi? Nitatika sa… Peleka barua zangu kwa… Nguo zinaweza kufuliwa hapa? Nataka upige pasi nguo zangu chache Naomba funguo Tafadhali leo, geuza shuka za kitandanda Niletee mto mwingine (blanketi) Foronya, kirago Kiango, bilauri Sabuni, taulo, mshumaa Maji ya kunywa, karatasi ya choo Kuna maji ya moto? Unynyizie dawa ya mbu Tafadhali urudi baadaye Sebule, vyumba vya kulala Una stanza da pranzo, una cucina Un patio, un bagno privato Viene fornita la biancheria? Quanto costa al mese? Le coperte, le stoviglie Posso avere un’aiutante? Conosci un buon cuoco Dove posso affittare un posto auto? Lui/lei tornerà alle 12,30 Una bambinaia/baby sitter Cibo Dove è il ristorante? Per colazione, pranzo, cena A che ora è servita la cena Possiamo mangiare qui? Siamo in due (cinque) Il capocameriere, il cameriere Mi dia un tavolo vicino alla finestra Di lato, in un angolo Cameriere Per cortesia ci serva presto Un tovogliolo, un bicchiere Un piatto, una forchetta, un coltello Un cucchiaio, un cucchiaino Pane, burro, panna, zucchero, biscotti Peperoncino/pepe, sale, salsa, aceto, olio Ho mangiato abbastanza, grazie Questo non è pulito. E’ sporco Aggiungi un poco Questo è troppo cotto Questo non è abbastanza cotto E’ troppo duro, (dolce, amaro) E’ freddo. E caldo Porta via Non ho ordinato questo Chiama il capocameriere Tieni pure il resto per te C’è un errore nel conto La mancia è compresa? Signore/i Beviamone un altro Una bottiglia di…Un bicchiere di… Un analcolico, Un succo di frutta Frutta Banana Mangos Chumba cha kulia, jiko Behewa, chumba cha kuogea Wanatoa vitambaa? Ni bei gani kwa mwezi? Mablanketi, vyombo vya kulia Naweza kupata kijakazi? (Mtumishi) Unamjua mpishi mzuri? Naweza kukodisha wapi nyumba ya kuweka motokaa? Atarudi saa sita na nusu Msichana wa kulinda watoto/Yaya wa kulinda watoto Chakula Kuna nyumba ya kulia wapi? Kwa chekula cha asubuhi, cha saa sita. cha jioni Tutaweza kupata chakula cha jioni saa ngapi? Tunaweza kula hapa? Tupo wawili, ( watano) Steward. Mkuu wa maweita Nipatie meza karibu na dirisha Upande, Pembeni Mwandishi! Weita! Utuletee chalula upesi Kitambaa, bilauri Sahani, uma, kisu Kijiko kikubwa, kijiko Mkate, siagi, maziwa mazito, sukari, biskuti Pilipili, chumvi, mchuzi, siki, mafuta ya saladi Nimetosheka, asante Hii si safi. Ni chafu Ongeza kidodo Kimepikwa mno Hakikupikwa ya kutisha Ni ngumu mno, (tamu, chungu) Ni baridi. Ni kali Ondoa Sikuagiza hii Umwambie weita mkubwa aje hapa Uchukue inayozidi Kuna kosa katika hesabu Bakshishi imo ndani? Akinamama/akinababa. Mabibi/mabwana Tunywe tena Chupa ya… Bilauri ya… Sharabeti. Kinywaji baridi, cha matunda Matunda Ndizi Embe/maembe Arancia/e Mandarino/i Limone/i Ananas Uva Melone Cocomero Pompelmo Fico/chi Pancetta Fagioli Fagiolini Cervello Pollo lesso Bollito di carne con verdure Cavolo Dolce, Torta Carota/e Cavolfiore Formaggio Pollo, Gallina, Coniglio, Maiale, Mucca, Vitello Capra, Pecora, Cinghiale Piselli Brodo di gallina Brodo leggero/sostanzioso Caffè (con latte, con panna) Carni fredde Mais Cetriolo/i Dessert Uovo/a Uova occhi di bue (fritti) Uova sode Pesce Pesce fritto Foglie di verdura verde Prosciutto di maiale Lepre Carne macinata Acqua fredda Ghiaccio Marmellata Rene/i Fegato Limonata Lattuga Patate rotonde europee, Patate dolci Purè di patate Carne Chumgwa/machungwa Chenza/machenza Limau/ malimau Zabibu mbici Nanasi Tikiti Tikiti maji Balungi Tini/matini Bekoni Maharagwe Maharagwe mabici, maharagwe yasiyoiva Ubongo Kuku iliyokaangwa Nyama iliotokoshwa pamoja na mboga Kabeji Mkate mtamu, Keki Katoti/makaroti Koliflaa Jibini Jogoo, Kuku, Sungura, Nguruwe, Ng’ombe, Ndama, Mbuzi, Kondoo, Nyama ya porini Njegere Mchuzi wa kuku Supu nyepesi (nzito) Kahawa (na maziwa, na maziwa mazito) Nyama baridi Mahindi Tango/matango Chakula cha kumalizia Yai/ma yai Mayai macho ya ng’ombe Mayai yaliyotokoseka Samaki Samali iliyokaangwa Mboga Kiga cha nguruwe Sungura mwitu Nyama iliyosagwa Maji ya baridi (ya barafu) Barafu Mraba Figo/mafigo Maini Maji ya limau Saladi Viazi mviringo, viazi vitamu Viazi vilivyosagwa Nyama Involtini fritti di carne Latte condensato Aranciata Funghi Olive Mostarda Noci Cipolla/e Aglio/i Arachidi Pernice/Quaglia Peperoni/peperoncini piccanti Sottaceti Zucca o zucchini Ravanelli Uvetta sultanina Carne arrosto Salsa/sugo Sardine o pesce piccolo Frutta sciroppata Canna da zucchero Tè Pane tostato Pomodori Cotoletta di vitello Vegetali Brodo vegetale Cassava Patata dolce gigante Religione La Cattedrale Vescovo, Parroco, Sacerdote, Suora La casa parrocchiale/delle Suore Dove è la Chiesa Cattolica più vicina? Dove è una celebrazione in lingua italiana/inglese? Voglio un Sacerdote Quando c’è la Messa? C’è un Sacerdote che parla Italiano/Inglese? Io sono Cattolico Ci sono dei Cattolici qui? Avvento Natale Epifania Quaresima Mercoledì delle ceneri Settimana Santa Domenica delle palme Pasqua Sambusa Maziwa ya kopo Maji ya machungwa Uyoga Zeituni Haradali Kokwa Kitunguu/Vitunguu Karanga Kwale Pilipili/pilipili kali Achali Boga,/maboga (Boga kama ) figili Zabibu kavu Nyama iliyokaangwa Mchuzi Samaki ndogo. Dagaa Matunda iliyopikwa Muwa Chai Mkate uliyochomwa Nyanya Nyama ya ndama Mboga Supu ya mboga Muhogo Kiazi kikuu Dini Kanisa kuu, Kanisa anapokaa Askofu Askofu, Paroko, Padri, Sista Nyumba ya Mapadri/ya Masista Kanisa Katoliki ya karibu iko wapi? Kuna Kanisa wanapotunia Kiitaliano/Kiingereza? Namtaka Padri Misa ni lini? Kuna Padri anayesema Kiitaliano/ Kiingereza? Mimi ni Mkatoliki Kuna Wakatoliki hapa? Majilio Noeli, Krismasi Epifania, Sikukuu ya Mamajuzi Kwaresima Jumatano ya majivu Juma Kuu Jumapili ya matawi Paska Ascensione Pentecoste Assunzione Dio Padre, Figlio, Spirito Santo, Trinità Angelo Padre nostro Ave Maria Credo Fede, Speranza, Carità Benedizione Catechesi, Catechismo Croce, Crocifisso Rosario Canto/i Battesimo Penitenza Eucarestia Confermazione Unzione degli infermi Ordine sacro Matrimonio Funerale Statua Bambino Gesù Cuore di Gesù Confessarsi Servizio Sociale Sei sposato? Sei sposata? Quale è la tua religione? Quanti figli hai? Frequentano la scuola? Uno può andare al mattino, l’altro/a nel pomeriggio Mandali a scuola Mandali alle lezioni Io posso darti del lavoro La Chiesa non è lontana Il Sacerdote verrà Non andare alla stazione, all’aereoporto L’insegnante ti chiama Spese/Compere Io voglio andare a far compere nei negozi Dove posso comperare del pane? Un tabaccaio Un negozio di abiti Kupaa kwa Bwana Pentekoste Kupalizwa mbinguni Bikira Maria Mungu Baba, Mwana, Roho Mtakatifu, Utatu Mtakatifu Malaika Baba yetu Salamu Maria Nasadiki Imani, Matumaini, Mapendo Baraka Mafundisho, Katekismu Msalaba, Msulibiwa Rosari Wimbi/Nymbo Ubatizo Kitubio Ekaristi Kipaimara Mpako wa wagonjwa Daraja Ndoa Mazishi Sanamu Mtoto Jesu Moyo Mtakatifu wa Jesu Kutubu Huduma kwa watu Umeoa? Umeolewa? Una dini Gani? Una watoto wangapi? Wanakwenda shuleni? Mmmoja anaweza kwenda asubuhi, mwingine jioni Uwapeleke shule Uwapeleke kwa mafundisho Naweza kukupatia kazi Kanisa haliko mbali Padri atakuja Usiende stesheni, kiwanjani Mwalimu anakuita Kununua Nataka kwenda madukani (dukani) Naweza kununua mkate wapi? Duka la sigara Duka la nguo Un negozio di alimentari Una farmacia Una ferramenta Negozio di calzature Macelleria Mercato, Al mercato Un sarto Un orologiaio Un calzolaio Scontato, A buon mercato Io voglio comprare… Voglio una pellicola (a colori) La misura è… Questo mi piace/Non mi piace Quanto costa? Preferisco qualcosa migliore (più economico) Non va bene. Non è la mia misura Mostrami altri modelli E’ troppo grande, (piccolo) Mostramene altri Posso ordinarne uno? Impiegherà molto per arrivare? Per cortesia prendi le mie misure Posso provare questo? Per cortesia mi incarterebbe questo? A chi pago? Confezioni questo/a per la spedizione con… Ufficio postale Dove è l’ufficio postale? Una lettera per… Voglio cinque francobolli da trecento scellini Di quanti francobolli ho bisogno? La lettera partirà oggi? Per cortesia mi dia una ricevuta Voglio fare un vaglia postale A quale sportello devo andare? Via aerea Banca Dove è la banca più vicina? A quale sportello vado per cambiare? Può cambiarmi questi? Per cortesia (non) mi dia banconote di grosso taglio Posso avere un cambio in moneta piccola? Quale è lo scambio per un dollaro? Duka la vyakula Duka la dawa Duka la vyuma Duka la viatu Duka la nyama Soko, sokoni Fundi cherehani Fundi wa saa Fundi wa viatu Bei rahisi Nataka kununua… Nataka filamu (ya rangi) Kipimo ni… Napenda hii (sipendi) Ni ngapi? Ni bei gani? Nataka kitu kizuri zaidi (rahisi zaidi) Haifai. Si kipimo changu Unionyeshe mifano Ni kubwa mno, (dogo mno) Unionyeshe zingine Naweza kuagiza moja? Itachukua muda mrefu? Tafadhali, unipime Naweza kujaribu? Tafadhali ufunge hii Nimlipe nani? Funga kwa kupeleka kwa… Posta Posta iko wapi? Barua kwa… Nataka stempu tano za shilingi mia tatu Zinatakiwa stempu ngapi? Barua itaondoka leo? Tafadhali unipe stakabadhi Nataka kupeleka mapesa kwa posta Niende kwa dirisha gani? Kwa ndege Benki Benki iliyo karibu ni wapi? Niende kwa dirisha gani kwa kupata mapesa? Unaweza kunivunjia hii? Tafadhali (usinipe) unipe noti kubwa Nataka shilingishilingi na sentisenti Naweza kupata shilingi ngapi kwa dolla moja? Libreria - Cartoleria Dove è una libreria? Un giornalaio Giornale, Rivista Dizionario Carte da gioco Una carta geografica di... Carta carbone Carte da scrivere Inchiostro Buste (aeree) Una matita, Un temperamatite Nastro per macchina da scrivere Penna Gomma Spago (robusto) Carta da pacchi Lavanderia Dove possono essere lavati gli indumenti? Io ho degli indumenti da far lavare Stirare, spazzolare, rammendare Non lavare questo in acqua calda Usa solamente acqua tiepida Fai attenzione Non stendere questo/a al sole Non inamidare il colletto Manca la cintura A che ora posso ritirarli? Pulizie di casa Mantieni tutto coperto in cucina Le mani siano sempre pulite Pulisci gli asciugamani e gli stracci Questo cibo è molto buono Hai apparecchiato bene Mantieni la cucina senza scarafaggi Spolvera i mobili Lava il pavimento Lava i piatti Prova ad essere più pulito/a Procura del carbone Procura della legna da ardere Ques’acqua è troppo calda (fredda) Lucida le mie scarpe Rifai i letti Duka la vitabu na Karatasi Duka la vitabu ni wapi? Duka la gazeti Gazeti Kamusi Karata Ramani ya... Karatasi ya kufanyia nakala Karatasi ya kuandikia Wino Bahasha (ya ndege) Mkala, Mashine Utepe wa mashine ya kuandika, Utepe ya taipureta Kalamu Kifutio Kamba (ngumu) Karatasi ya kufunga mizigo Kufulia Nguo zinaweza kufuliwa wapi? Nina nguo za kufuliwa Kupigwa pasi, (kupigwa brashi, kutengenezwa) Usifue katika maji ya moto Utumie maji ya moto kidogo tu Angalia sana Usianike juani Usitie wanga kwa kala Mkanda umekosekana Nawaza kupata saa ngapi? Kusafisha nyumba Ufunike kila chombo jikoni Nawa mikono vizuri Safisha vitambaa Chakula hiki ni kizuri sana Umeandaa meza vizuri Wadudu wasiingie jikoni Panguza vumbi kwa vyombo Safisha chini, kwa maji. Piga deki Safisha sahani Jaribu kuwa safi zaidi Leta makaa Leta kuni Maji ni ya moto mno (baridi mno) Safisha viatu vyangu Utandike vitanda Abiti Costume da bagno Blusa Reggiseno Giacca Collare/colletto Abito da donna Fazzoletto da naso Cappello Cravatta. Sciarpa Cappotto Slip Camicia Impermeabile Vestiti da viaggio Bermuda Gonna Sandali infradito Calzini. Calzettoni Giacchettino Pantaloni Biancheria intima Incidenti e malattie Cè stato un incidente Non lo/a muovere Io ti daro istruzioni Proverò la respirazione bocca a bocca Questa persona è in pericolo di vita Noi proveremo a salvarlo/a Non coprire questo ascesso Mettilo/a/e nell’acqua Metti impacchi caldi (freddi) Tu hai un appuntamento per… Chiama un medico, un’infermiere/a Chiama un’ambulanza Per cortesia porta delle coperte Una barella, dell’acqua Lui/ei è ferita gravemente Aiutami a trasportarlo/a Lui/ei è stata spinta a terra Lei è caduta Lei è caduta per un capogiro Ha perduto conoscenza Ho le vertigini Lui/ei ha una frattura (contusione, ferita) Lui/ei ha bruciato la sua mano con il fuoco Sanguina (è gonfio/a) Nguo Nguo ya kuogelea Shati la kike Shindiria Koti Kala Gauni Kitambaa cha kamasi Kofia Utepe wa shingoni (tai) Koti la juu Chupi Shati Koti la mvua Nguo za safari Kaputula Marinda (sketi) Viatu (kanda mbili) Soksi. Soksi ndefu Sweta Suruali Nguo za ndani Ajali na magonjwa Pametokea ajali Usimsogeze Nitakuambia la kufanya Nitajaribu kumpa pumzi kwa mdomo Mtu huyu yuko katika hatari ya kufa Tutajaribu kumponya Usifunge kitambaa jipu hili Tia majini Tia vitambaa vya moto (baridi) juu yake Unaweza kuja saa… Umwite daktari, nesi Uite gari la hospitali Tafadhali ulete blanketi Machela, maji Ameumia, (ameumia vibaya) Unisaidie tumbebe Aliangushwa chini Ameanguka Ameanguka na kizunguzungu. Amepoteza fahamu Nina kizunguzungu Amevunjika mfupa ( amechubuka,ana jeraha) Amechomwa mkono wake na moto Inatoka damu (imevimba) Puoi medicarla? Stai bene? Hai delle bende (una stecca)? Ho bisogno di qualcosa come laccio emostatico Fa male qui Voglio sedermi un momento Non posso muovere il mio/la mia…….. Ho battuto il mio/la mia……. Potrò partire Lunedì? Per cortesia avverti mio marito/moglie Io sono ………... Mi chiamo……… Voglio vedere un dottore Non dormo bene Ho un raffreddore Ho mal di testa Ho un’ascesso Sono stato punto da un insetto Bile Vescica Raffreddore chiuso Il mio piede è dolente Brividi di freddo Stitichezza Diarrea Diarrea con sangue Urinare sangue Male di orecchio Febbre Cibo avvelenato Raucedine Indigestione /Mal di pancia Lebbra, (lebbroso) Ho nausea Vomitare Malattia del sonno Mal di gola Distorsione Scottature solari Insolazione Febbre da tifo Febbre da punture di insetti ( da malaria) Sono stato morso da… Una zanzara Una mosca tze-tze Una mosca Un’ape Un serpente Uno scorpione Unaweza kufunga dawa? U mzima? Una vitambaa (gango)? Nataka kisongo Inauma hapa Nataka kukaa kitako kidogo Siwezi kutumia……… Nimeumiza……… Je, nitaweza kusafiri Jumatatu? Tafadhali, upeleke habari kwa mume (mke) wangu Mimi ni……. Jina langu ni……. Nataka kuonana na bwana mganga (daktari) Silali vizuri Nina kifua Kichwa kinauma Nina jipu Niliumwa na dudu Nyongo Lengelenge Kidonda Mguu wangu unauma Homa ya baridi Siendi choo Kuhara Kuhara damu Kukojoa damu Sikio linauma Homa Sumu katika chakula Kupwewa sauti Tumbo linauma Ukoma, (mwenye ukoma) Nataka kutapika Kutapika Malale Koo linauma Kuteguka Kupigwa na jua Kuugua kwa kuchomwa na jua Homa ya tumboni Homa ya papasi (ya maleria) Niliumwa na… Mbu Ndorobo Nzi Nyuki Nyoka Nge In ragno Un centopiedi Uno scarafaggio/zecca Pulce (penetrante) Polmonite, Bronchite Tosse Ulcera tropicale Sifilide, Gonorrea Anchilostoma Vermi intestinali Epidemia Colera Vaccino antiepidemico Infezione Tenia Porta un campione di feci / urine Andare al gabinetto Incontinente Essere in stato interessante Partorire Abortire Allattare Posso stare a letto? Devo andare all’ospedale? Stai a letto Mi sento meglio Quando pensi che guarirò? Quando ritornerai? Collirio per l’occhio (gli occhi) Una goccia Siringa, Iniezione Un cucchiaio, un cucchiaino Non rimetterlo nella bottiglia Ingoiala con l’acqua Bevi un bicchiere colmo Ogni ora (3 ore) Prima dei (dopo i) pasti Due volte al giorno Pillole, capsule, compresse Cosa faccio? Prima di andare a letto ( di alzarsi) Sciogli nell’acqua Dentista Dove posso trovare un dentista? Questo dente fa male Bisogna che sia estratto Puoi fissarlo temporaneamente? Ascesso gengivale Buibui Tandu Papasi Funza Kichomi Kohoo Buba Kaswende, Kisonono Safura Chango Ugonjwa wa kuambukiza watu vengi Kipindupindu Dawa ya kuzuia ugonjwa unaoshika watu vengi pamoja Uambukizo Tegu Leta haja / mkojo kidogo Kwenda haja. (kwenda choo) Mkojozi Kuwa na mimba Kuzaa Kuharibu mimba Kunyonyesha Nikae kitandani? Niende hospitali? Kaa kitandani Afadhali sana Unafikiri nitapona lini? Utarudi lini? Bomba la dawa ya jicho ( ya macho) Tone Sindano Kijiko, kijiko kidogo Usiridishe chupani Meza na maji Kunywa bilauri nzima Kila saa ( saa tatu) Mbele ya (kisha) kula Mara mbili kutwa Kidonge Nifanyeje? Kabla ya kukala, (ukiamka) Changanya na maji Mganga wa meno Naweza kupata mganga wa meno wapi? Jino hili linauma Lazima ling’olewe Unaweza kulitengeneza kwa muda? Jipi la ufizini Crescerà un altro dente Si è rotto un dente Non voglio che tu lo tolga Può riparare questa dentiera? Fai dei gargarismi con acqua e sale Questo allevierà il dolore Anestetico ( generale e locale) Farmacia Cerotto adesivo Bende Spazzolino ( da capelli, da denti) Olio di ricino (olio purgante) Lassativo Cotone idrofilo, garza Deodorante Bottiglia per acqua calda Borsa per il ghiaccio Pettine, (largo, stretto) Repellente per insetti Veleno Chinino Rasoio, lamette Assorbenti igienici Sedativo Crema da barba (lozione) Sapone Termometro Dentifricio Parti del corpo Testa Cuore Calcagno, Tallone Anca, Fianco Intestini Mascella, Mandibola Giuntura, Articolazione Rene, Rognone Gamba/e, Piede/i Ginocchio/a Fegato Labbro/a, (bocca) Organo sessuale maschile, (femminile) Muscolo Unghia, (dito, dito del piede) Collo Nervo Jino lingine litaota Jino limevunjika Sitaki uling’oe Unaweza kutengeneza meno haya ya kubandika? Usukutue kwa maji ya chumvi Hii itapunguza maumuvu Dawa ya kutuliza maumivu Duka la dawa Utepe wa kuambatanisha Vitambaa Burashi (ya nywele, ya meno) Mafuta ya kuharisha, (ya mbono) Dawa ya kuharisha Pamba, Shashi Dawa ya kuondoa harufu mbaya Chupa ya maji moto Mfuko wa barafu Chanuo, Kitana Dawa ya kufukuza wadudu Sumu Kwinini Wembe, nyembe Vitambaa vya hedhi Dawa ya kutuliza Dawa ya kunyolea Sabuni Kipimo cha kupima joto au baridi Dawa ya meno Sehemu za mwili Kichwa Moyo Kisigino Nyonga Matumbo Taya Kiungo Nso, Figo Mguuu/Miguu Goti, Magoti Maini Mdomo/Midomo Uume ( Uke) Musuli Ukucha. (kidole, kidole cha mguu) Shingo Neva Polmone/i Naso Costola, Costato ( di destra, di sinistra) Spalla/e Pelle Cuoio capelluto Cranio, Teschio Stomaco, Pancia Arteria/e Caviglia Mano/i. Braccio/a Avambraccio Polso Osso/a Pancia. Ventre Seno Sedere Guancia. Gota Torace Mento Labbro leporino. Palato leporino Clavicola/e Orecchio/i Occhio/i Gomito Sopracciglio/a Ciglio/a Viso, Faccia Fronte Capelli Inguine Tendine Coscia Gola Lingua Pollice Alluce Vena/e Vita Sangue Radiografie Stenditi sulla schiena Stenditi sul fianco, sullo stomaco Sul fianco destro, sul fianco sinistro Mento in alto Mani sui fianchi Porta le spalle in avanti Respira profondamente e trattieni il fiato Non ti muovere! Respira ,inspira e resta senza respirare Pafu/Mapafu Pua Ubavu ( wa kulia, wa kushoto) Bega/Mabega Ngozi Ngozi ya kichwa Bupuru la kichwa. Fivu Tumbo Mshipa/Mishipa Kifundo cha mguu Mkono/Mikono Kilimbili Kifundo cha mkono Mfupa/Mifupa Tumbo Mawiza Tako (Matako) Shavu Fikua Kidevu Mdomo wa pande. Kaakaa lenye mpasuko Mtulinga (mi…) Sikio (ma…) Jicho ( macho) Kivi Unyushi (Nyushi) Ukope Uso Paji la uso Nywele Manena Ukano Paja Koo Ulimi Kidole Gumba Kidole cha mguu Vena Mshipa/Mi… wa damu Kiuno Damu Kupiga picha kwa stimu Lala mgongoni Lala ubavuni, tumboni Ubavuni kulia, ubavuni kushoto Kidevu juu Mikono nyongani Leta mabega mbele Vuta pumzi sana na usupumue Usijimudu Vuta, toa pumzi na usivute tena Quando ti sei ammalato/a ? Settimana, Mesi, Stagioni Umepata ugonjiwa lini? Siku za juma, Miezi, Majira Lunedì Martedì Mercoledì Giovedì Venerdì Sabato Domenica Jumatatu Jumanne Jumatano Alhamisi Ijumaa Jumamosi Jumapili Gennaio Febbraio Marzo Aprile Maggio Giugno Luglio Agosto Settembre Ottobre Novembre Dicembre Januari Frbruari Machi Aprili Mei Juni Julai Agosti Septemba Oktoba Novemba Desemba Stagione delle pioggie Stagione asciutta Masika Kiangazi Condizioni meteorologiche Fa caldo. Fa freddo E’ cattivo tempo Piove Com’è il tempo (fuori) Il sole si è levato, (è tramontato Tabia ya hewa Ni jua kali. Ni baridi Ni kubaya Mvua inanyesha Kunakuwaje (nje) Jua limetoka, Jua linang’ara Il tempo Che ora è? Sono le ore tredici (tempo africano, – 6 ore, la 1° ora, sono le 7 europee) Alle sette e dieci (di mattina) Le cinque e mezza Le cinque e un quarto Le sei meno un quarto Le nove meno dieci (di sera) E’ tardi. Il tempo è finito Ore del pomeriggio, della notte Giorno, Notte A mezzogiorno. A mezzanotte Ieri, Ieri sera, Ieri notte wakati Ni saa ngapi? Ni saa saba Ni saa moja na dakika kumi (asubuhi) Ni saa kumi na moja na nusu Ni saa kumi na moja na robo Ni saa kumi na mbili kasarobo Saa mbili na dakika hamsini (jioni) Saa imekwisha Saa za alasiri, jioni. Saa za usiku Mchana. Usiku Saa sita mchana. Usiku katikati Jana, Jana jioni, Jana usiku L’altro ieri Il mese scorso. L’anno scorso Lunedì scorso Due settimane fa Oggi. Stasera. Domani . Dopodomani La prossima settimana Numeri/Conti Uno, due,tre, quattro, cinque Sei, sette, otto, nove, dieci Undici, dodici, diciannove Venti, ventuno, ventotto Trnta, trentuno Quaranta, cinquanta, sessanta Cento, centouno, Duecento, trecento Mille, Duemila Primo, secondo terzo Il sesto, l’ottavo, il decimo Cinquantesimo, centesimo, millesimo Addizzionare, sottrarre Misure diverse Quato misura (di larghezza)? Quanto costa al metro? Quale è la misura? Misura quattro metri di lunghezza, per due di larghezza Grande, medio, piccolo Simile, assortito, differente Un paio, mezza dozzina, una dozzina 50 centimetri, Un metro Colori Bianco, Nero, Blù Marrone, Crema, Grigio Rosso Verde, Giallo Arancione, Rosa, viola Io voglio un colore più chiaro (più scuro) Oggetti comuni Posacenere Borsa, sacchetto Asse Tavolo, sedia/e, letto/i, armadio Scatola, cassa, bara. Cassetta postale, Juzi Mwezi jana. Mwaka jana Jumatatu iliyopita Juma mbili zilizopita Leo. Leo jioni Kesho. Kesho kutwa Juma ijayo Namba/Hesabu Moja, mbili, tatu, nne, tano Sita, saba, nane, tisa, kumi Kumi na moja, kumi na mbili, kumi na tasa Ishirini, ishirini na moja, ishirini na nane Thelathini, thelathini na moja Arobaini, hamsini, sitini Mia, mia na moja, Mia mbili, mia tatu Elfu, Elfu mbili Ya kwanza, ya pili, ya tatu Ya sita, ya nane, ya kumi Ya hamsini, ya mia, ya elfu Kujumlisha, kutoa, Vipimo mbalimbali Ni urefu (upana) gani? Ni bei gani kwa mita Ni kipimo gani? Ni mita nne kwa mita mbili Kubwa, ya katikati, ndogo Sawa, mbalimbali, tofauti Jozi, nusu dazani, dazani Sentimita hamsini, Mita moja Rangi Nyeupe, Nyeusi, Buluu Rangi ya kahawa, …ya mtindi,… ya majivu Nyekundu Rangi ya majani, …ya manjano Rangi ya chungwa,…ya waridi,…ya zambarau Nataka rangi nyeupe (nyeusi) zaidi Vyombo mbalimbali Sahani ya kuwekea majivu Mfuko Mbao Meza, kiti/viti, kitanda/vitanda, kabati Sanduku. Sanduku la posta, lampadina, luce (corrente) elettrica Apriscatole Abiti Cavatappi, tappo di sughero Cuscino, materasso, coperta, lenzuola Bambola/bambolotto Orecchini Legna da ardere Occhiali (da sole) Oro (oggetto d’oro) Ferro (da stiro) Laccio da scarpa Pelle Lino Catenaccio/lucchetto Toppa/e Zanzariera Limetta per unghie, lima Ago per cucire, Spilli, Spillo di sicurezza Libro/i, quaderno/i Secchio Temperino Corda (di fibra vegatale) Radio Anello Forbici Seta Argento (piatti) Pietra/e Tappo Cintura Telefono Ditale Filo da cucire Stoffa Macchina da scrivere Ombrello Vaso Bacinella per laversi le mani Straccio piccolo per lavare Lavandaia/o Orologio da polso, (da parete) Filo di ferro Lana Scopa piccola di saggina Animali Uccello Babuino, Gorilla Yai la taa ya umeme, Umeme Chuma cha kufungua kopo Nguo Kizibuo, kizibo Mto, godoro, blanketi, shuka Mwanasesere. Mtoto wa bandia Kipuli Kuni Miwani (ya jua) Dhahabu Chuma ( Pasi) Ukanda wa viatu Ngozi Kitani Kufuli Kiraka/viraka Chandalua Tupa ya kucha, Tupa Sindano, pini Kitabu/vitabi, Daftari/madaftari Ndoo Kisu cha kukunja Kamba, (katani) Redio Pete Makasi Hariri Fedha, (vyombo vya kulia) Jiwe/mawe Kizibo Mkanda Simu Kastabini Uzi Kitambaa Mashine ya kuandikia, Tapureta Mwavuli Chombo Bakuli la kunawia Kitambaa kidogo Dobi Saa ya mkono, (ya ukutani) Uzi wa chuma Majoho Ufagio mdogo Wanyama Ndege Nyani, Mtu sokwe Bufalo Coccodrillo Elefante Rinoceronte Giraffa Zebra Gnu Ippopotamo Leone Leopardo, Tigre Iena Struzzo Gatto Topo Mucca, Vitello Cane Mulo, Asino Rana Pesce Capra, Pecora Cavallo Gallina, Gallo Pulcino/i, Oca, Anatra Lepre, Coniglio Gufo Serpente Ragno Insegnanti Leggi correttamente Scrivi una lettera Guardate alla porta Restate in piedi finchè vi sarà detto di sedere Alzatevi quando un adulto entra Rispondete sempre Sì signore/a, Nò Suora, Sì maestro/a Non lasciate nulla sul banco Dopo la scuola temperate le matite Cancellate Mantenete sempre i banchi puliti In cima al foglio scrivi il nome e la data Non camminare per la classe Se non capisci, chiedi Fai attenzione in classe Fate silenzio Siate ordinati e puliti Uscite in silenzio Non spingete Mettetevi in fila Sii educato Nyati Mamba Tembo Kifaru Twiga Punda- milia Nyumbu Kiboko Simba Chui Fisi Mbuni Paka Panya Ng’ombe, Ndama Mbwa Nyumbu, Punda Chura Samaki Mbuzi, Kondoo Farasi Kuku, Jogoo, Kifaranga/vifaranga, Bata Sungura Kanga Nyoka Buibui Walimu Soma vizuri Andika barua Tazameni mlango Simameni sawa mpaka muambiwe kukaa Simameni mtu mzima akiingia Mwitikieni kila mara Ndiyo Bwana, Hapana Sista, Ndiyo Mwalimu Msiache hata kitu juu ya deski Mchonge kalamu kisha shule Futeni Deski ziwe safi kila wakati Juu ya karatasi andika jina na tarehe Usitembee darasani Usipofahamu, uliza Angalia darasani Nyamaseni Muwe safi katika mwili Tokeni bila kelele Msisukume Mpamge mstari Uwe na adabu In piedi! Vai alla lavagna Apri la porta, Chiudi la finestra Matematica, Scrittura, Lettura, Lingua Religione, Igiene, Scienze, Frazioni, Per cento, Percentuale Un quarto, Un sesto Dieci per cento, Quattro per cento Quattro quinti, Tre quarti Leggi ad alta voce Leggi sottovoce Racconta una storia Costruzioni Simameni! Unda ubaoni Fungua mlango, Funga dirisha Hesabu, Maandiko, Masomo, Lugha Dini, Afya, Maarifa Sehemu, Moja kwa mia, Asilimia Robo, Sehemu ya sita Kumi kwa mia, Nnne kwa mia, Asilimia kumi, Asilimia nne Sehemu nne kwa tano, Robo tatu Soma kwa sauti Soma kimya Simulia hadithi Majengo Costruire Costriure con pietre Muratore, Arte del muratore Misura le fondamenta Scava le fondamenta Scava fino alla roccia Scava 50 cm di profondità Scava 75 cm di larghezza Pietra/e Terreno Acqua Ghiaia Sabbia Calce Cemento Mattone/i Mattonelle, Piastrelle Paglia Pali di legno Assi Travi (da 2 x 4) Rete metallica Vetro/i Tondino di ferro per consolidare il cemento Serratura, Lucchetto Maniglia Chiodi Bulloni Dadi per bulloni Viti Filettature dei bulloni Kujenga Kuaka Uashi Pima msingi Chimba msingi Chimba mpaka mwamba Chimba sentimita hamsini Chimba upana wa sentimita sabini na tano Jiwa/mawe Udongo Maji Changarawe Mchanga Chokaa Sementi, saruji Tofali/matofali Vigae Majani Miti Mbao Boriti (mbili kwa nne) Wavu Kioo/vyoo Vyuma vya kuimarisha sementi Kufuli Kipini, (kishiko) Misumari Parafujo, (bolti) Nati Skrubu Hesi Muri interni…esterni Costruisci i muri diritti Kuta za nje,…za ndani Jenga kuta sawasawa. Wima Usa il piombino e la livella Costruisci i muri tre metri in altezza Costruisci i muri con mattoni cotti Costruisci i muri con mattoni seccati al sole Costruisci con mattoni di cemento Il muro sarà spesso 30 cm. Intonaca i muri Intonaca con calce, con cemento, con terreno Dipingi i muri Tempera Pavimento di cemento Tumia timazi na pimamaji Jenga kuta mita tatu Jenga kuta kwa matofali yaliyochomwa Jenga kwa matofali bici Jenga kwa matofali ya sementi Ukuta utakuwa sentimita thelathini upana Piga lipi kuta Piga lipu na chokaa,…na sementi,…na udongo Piga rangi kuta Rangi Sakafu ya sementi Soffitto Paglia per tetti Travi Puntone Lamiere ondulate Copri lamiere Chiodi per fissare le lamiere Corda di fibra per fissare la paglia del tetto Mettere la corda nell’acqua Capriate Dari Majani. Maezeko Maboriti Komba moyo. Pao Mabati Kofia Misumari ya mabati Kamba Lowesha kamba majini Kenchi Muratore Intonacatore Lavoratore occasionale Operaio Manovale Carpentiere Paga mensile Aiutante del trattore o camion Apprendista Idraulico Elettricista Mwashi Mpiga lipu Mtumishi wa kipande Fundi Kibarua Mseremala Mshahara Taniboi Mwanafunzi Fundi bomba Fundi umeme Martello Metro Sega, Seghetto a mano Catino di metallo per trasportare cemento…. Pala Mazza di ferro. Leva Piccole pietre per costruzioni Pialla. Cazzuola Ascia, Piccone Sacco di tela di iuta Pennello grande per tinteggiare Nyundo Kipimo Msumeno, msumeno wa mkono Kalai Koleo Mtalimbo Makokoto Randa, Mwiko Shoka, Sululu Gunia Burashi Casa con tetto di paglia Casa con tetto di terreno Banda Tembe Scuola Negozio di falegnameria Chiesa Missione Ospedale, Dispensario Palazzina a più piani, Palazzo Negozio Agricoltura, Botanica Granoturco Cotone Caffè Ricino Cassava Fagioli Frutti Foglie di cassava Foglie commestibili di pianta Miglio Piselli Polenta di mais, miglio o cassava Riso, cotto, brillato Sisal Tabacco Arachidi Radici Stelo Ramo/i Foglia/e Fiore/i Semi Piantare, Coltivare Seccare, Raccogliere Innaffiare, Zappare Costruire un’argine per l’acqua Shule Seremala Kanisa Misioni Ospitali, Zahanati Gorofa (Nyumba ya orofa) Duka Kilimo, Elimu ya mimea Mahindi Pamba Kahawa Mbarika, mbono Muhogo Maharagwe Matunda Kisamvu Mchicha Mtama Dengu, Njegere Ugali ya mahindi…ya mtama…ya muhogo Mpunga, mchele Katani Tumbaku Karanga Mizizi Shina Tawi/matawi Jani/Majani Ua, Maua Mbegu Kupanda, Kulima Kukauka, Kuvuna Kumwagilia maji, kulima Kujenga boma la kuzuia maji Politica Governo Stato Nazione Presidente della Nazione Casa presidenziale Vice-Presidente Primo Ministro Ministro Ministero Segretario Generale Parlamento Siasa Serikali Nchi Taifa Rais Ikulu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Waziri Wizara Katibu Mkuu Bunge Membro del Parlamento Gabinetto Unione Africana Nazionale del Tanganyika Unione Africana Nazionale del Kenya Partito Afro-Shirazi Costituzione Statuti e Regolamenti Articolo Consiglio Commissione Messaggio, Discorso Membro Partecipazione Regione (in Tanzania) Provincia (in Kenya) Commissario Regionale (Tanzania) Commissario Provinciale (Kenya) Distretto Commissario di Zona (in Tanzania) Commissario di Distretto (in Kenya) Incontro Indire un’incontro Presidente Segretario Cassiere Contabile, Ragioniere Ufficio Dirigente Elezione Costituente Votare per qualcuno/a Voto Elettore Partito di Maggioranza Consiglio Esecutivo Nazionale Assemblea Nazionale Commissione Nazionale Ufficio Nazionale Il Socialismo Tanzaniano è chiamato Ujamaa (Fratellanza) Il fondamento dell’Ujamaa è la Dichiarazione di Arusha Essa dichiara che un uomo non deve sfruttare (utilizzare) un altro essere umano Dichiara inoltre che la via privilegiata della produzione deve essere nazionalizzata I Membri del Parlamento vengono eletti con voti Lui/ei parla in Parlamento nel nome e negli interessi di coloro che lo/a hanno eletto/a La politica Tanzaniana è di Fratellanza e Mbunge Baraza la Mawaziri TANU KANU Chama cha Afro-Shirazi Katiba Sheria na Amri (Kanuni) Fungu Halmashauri Kamati Tume Mwanachama Uanachama Mkoa (Tanzania) Jimbo (Kenya) Mkuu wa Mkoa (Tanzania) Mkuu wa Jimbo (Kenya) Wilaya Mkuu wa Wilaya Mkuu wa Wilaya Mkutano Kuita mkutano Mwenyekiti Katibu, Mwandishi Mweka Fedha Mhasibu Ofisi Meneja Uchaguzi Sehemu ya Uchaguzi Kumpigia kura fulani Kura Mpiga Kura Chama kinachotawala Halmashauri Kuu ya Taifa Mkutano Mkuu wa Taifa Kamati Kuu ya Taifa Ofisi Kuu Usoshalisti wa Kitanzania huitwa Ujamaa Msingi wa Ujamaa ni Azimio la Arusha Lilitangaza kuwa ni mwiko mtu kumnyonya binadamu mwenzie Lilitangaza pia kuwa njia kuu za kuzalisha mali sherti zitaifishwe Mbunge huchaguliwa kwa kura Katika Bunge huwatetea waliomchagua Siasa ya Tanzania ni ya Ujamaa na Kujitegemea autofiducia nelle proprie capacità di sviluppo Capitalismo Capitalista Comunismo Comunista Feudalismo Imperialismo Padrone/Proprietario Aderire ad un Partito Politico Essere espulso da un Partito Politico Dimettersi Consigliere Tessera di adesione Pagare la tassa annuale Parlare in pubblico Conferenzier/Oratore Intervento in un incontro Risoluzioni/Dichiarazioni Proposte Eseguire le risoluzioni Opporsi Proporre Contare i voti Dichiarare il vinvitore/l’eletto Parlamento dell’Africa Orientale Unione Federazione Ubepari Bepari Ukomunisti Mkomunisti Ukabaila Ubeberu Kabaila, Bwanyenye Kuingia chama cha siasa Kufukuzwa chamani Kujizulu Diwani Kodi ya uanachama Kulipa ada ya mwaka Kusema hadharani Msemaji, Mhutubiaji Kuhutubia mkutano Maazimio Mapendekezo Kutekeleza maazimio Kupinga Kupendekeza maazimio Kuhesabu kura Kumtangaza mshindi Bunge la Afrika ya Mashariki Muungano Shirikisho